Uhuru wa uanahabari katika kaunti ya Nakuru uko hatarini

  • | K24 Video
    84 views

    Uhuru wa uanahabari katika kaunti ya Nakuru uko hatarini kufuatia kuongezeka kwa visa vya maafisa wa usalama kuwafanyia ukatili wanahabari. Viongozi wa baraza la vyombo vya habari na muungano wa wanahabari wa Nakuru Joseph Mecha na Joseph Openda katika eneo hili wamesema kuna njama ya kuwatia uwoga wanahabari na kuwakomesha kuangazia uongozi mbaya. Kisa cha hivi punde kilitokea jana wakati wa maandamano huko Molo ambapo wanahabri wawili walijeruhiwa na maafisa wa GSU.