- 8,865 viewsDuration: 59sRais wa Marekani Donald Trump amekamilisha ziara yake ya siku mbili nchini Uingereza, ambapo mataifa hayo yamekubaliana kushirikiana katika sekta ya teknolojia. Pia walijadili vita vya Ukraine na pia Gaza, ambapo mataifa hayo mawili hayakubaliani kuhusu kutambuliwa kwa taifa huru la Palestina. Lakini ziara hii imekuwa na mafanikio gani? Tunalijadili hili mwendo wa saa tatu kamili katika Dira ya Dunia ukiwa nami @elizabethkazibure . Pia unaweza kufuatilia matangazo haya mubashara katika mitandao yetu ya youtube na facebook ya bbcswahili. - - #bbcswahili #uingereza #marekani #trump