Ujenzi wa barabara ya Maumau ilioko eneo bunge la Kangema warejelewa baada ya kukwama kwa muda

  • | Citizen TV
    358 views

    Ujenzi wa barabara ya Maumau ilioko eneo bunge la Kangema umerejelewa baada ya kukwama kwa muda mrefu, huku mwanakandarasi akirudi kwenye eneo la kazi.