Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa kituo cha ardhi umekwama kwa miaka minne katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    308 views
    Duration: 3:21
    Wakazi wa Kaunti ya Samburu, wamelalamikia kukwama Kwa ujenzi wa ofisi za ardhi eneo hilo Kwa zaidi ya miaka minne,Hali ambayo imezidi kuwaponza wakilazimika kusafiri mwendo mrefu Hadi mji wa Nyahururu katika kaunti jirani ya Laikipia kusaka huduma hizo.