Ujuzi wa mafundi wasio na elimu kutambuliwa

  • | Citizen TV
    508 views

    Mpango wa kutambua ujuzi wa mafundi ambao hawana masomo rasmi ya kiufundi ila wana ujuzi wa kazi umezinduliwa katika kaunti ya Kiambu.