Ukaguzi wa viwanja nchini

  • | Citizen TV
    1,036 views

    Kenya iko mbioni kukamilisha matakwa yote ya kuandaa mchuano wa mataifa ya Afrika, Chan mapema mwezi ujao.kamati andalizi ya Chan pamoja na waziri mpya wa michezo salim mvurya na mtangulizi wake Kipchumba Murkomen walikagua viwanja vya Kasarani na Nyayo kutathmnini utayari wake.