Ukaidi Wa Super Metro: NTSA yaipokonya leseni ya kazi kampuni ya Super Metro

  • | Citizen TV
    3,423 views

    Super Metro yatuhumiwa kuhatarisha maisha ya abiria

    Magari ya kampuni yakaidi agizo na kuendelea na kazi