Skip to main content
Skip to main content

Ukame unaendelea kukumba sehemu kadhaa za Kaunti ya Wajir

  • | Citizen TV
    1,393 views
    Duration: 3:12
    Ukame unaendelea kukumba sehemu kadhaa za Kaunti ya Wajir, hali ambayo imesababisha wakazi na mifugo kukosa maji ya kutosha. Serikali kwa ushirikiano na Mashirika yasiyo ya serikali yanasaidia kusambaza maji kwa malori ila hayatoshi.