Ukanda wa Gaza: Mapigano makali kati ya Israel na Hamas yaikumba miji mikubwa
Mapigano makali yameendelea hivi leo Alhamisi katika miji mikubwa huko Ukanda wa Gaza wakati majeshi ya Israel na wanamgambo wa Hamas wanapambana na raia wa Palestina wakitafuta makazi salama yaliyopo ili kujiepusha na vita.
Mapambano yalitokea huko Gaza City, sehemu za kaskazini ambako Israel imelilenga tangu kampeni yake ya awali ya kulitokomeza kundi la Hamas, pamoja na huko Khan Younis kusini mwa Gaza, sehemu ambayo imepanuliwa katika vita.
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amesema majeshi ya Israel wanakaribia eneo la ambalo Mkuu wa Hamas huko Gaza, Yahya Sinwar yuko na kwamba ni suala la muda mpaka wampate.
Mapigano yamewasukuma raia mbali zaidi upande wa Kusini, na kuvuruga operesheni za kibinadamu za Umoja wa Mataifa na kuchochea kurejewa kwa maonyo ya kuongezeka kwa hali mbaya.
Umoja wa Mataifa umesema maelfu ya watu wamewasili katika siku za karibuni huko Rafah, eneo ambalo liko karibu na mpaka wa kusini mwa Gaza. Rafah ni eneo pekee huko Gaza ambalo limepokea misaada michache ya kibinadamu wiki hii kutokana na kusambaa kwa ghasia upande wa kaskazini, UN imesema.
Wakazi na waandishi wa habari wameripoti mashambulizi kadhaa ya anga ya Israel huko Rafah usiku kucha, huko wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas ikiripoti vifo 37. - VOA News
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #hospitali #Nasser #wagonjwa #madawa
29 Nov 2024
- The proposal would be problematic, particularly in terms of leadership, as Museveni and Kagame have been the states' longstanding leaders.
29 Nov 2024
- Kenyans turned up in large numbers despite the fact that only 3,000 positions were available to be filled.
29 Nov 2024
- The three were feted at an awards ceremony held at the Royal Danish Embassy in Nairobi, Kenya.
30 Nov 2024
- Ugandan opposition leader was hounded out of Nairobi and court-martialed on charges of carrying an illegal gun.
30 Nov 2024
- Raila to appear in a televised debate alongside his rivals for the AUC chairmanship election.
30 Nov 2024
- Kenya Kwanza's only path to restoring legitimacy
30 Nov 2024
- KMTC launches Diploma course to support UHC
30 Nov 2024
- The finance chief of India's Adani Group on Friday rejected U.S. allegations that executives, including Chairman Gautam Adani, were part of a Ksh.34 billion bribery scheme, while the Indian government said it has not received any U.S. request on the…
30 Nov 2024
- Empower Kenyan traders by bridging digital divide
30 Nov 2024
- Disaster response teams coordinated by National Government Administration have begun evacuating over 240 households affected by the ongoing floods.
30 Nov 2024
- European and American carmakers are set to lose up to 17 per cent of their combined annual core profits if the U.S. imposes import tariffs on Europe, Mexico and Canada, S&P Global said in a report on Friday, warning of potential credit downgrades.
30 Nov 2024
- State embarks on door-to-door drive to shore up SHA registration
30 Nov 2024
- Parents shocker as State stops student mid-year transfers