Ukarabati wa JKIA ungegharimu nchi shilingi bilioni 260

  • | Citizen TV
    644 views

    Kampuni ya Adani ilijipata katikati ya serikali na wakenya, kuhusu mkataba uliohusisha ukarabati wa uwanja wa ndege wa jkia kwa gharama ya shilingi bilioni 260 na mkataba mwingine wa kawi nchini. Rais Ruto, mawaziri wake na baadhi ya wabunge walitetea kampuni hiyo licha ya maswali chungu nzima kuibuka. Kinaya sasa ni kuwa rais Ruto amelazimika kupiga abautani na kufutilia mbali mikataba hiyo mwenyewe,