- 153 viewsDuration: 3:08Mila komavu zilizopitwa na wakati kama vile kuwaoza watoto wa kike mapema na ukeketaji, zinazidi kulemaza Juhudi za watoto wa kike kuafikia Ndoto zao katika kaunti ya Samburu. Wadau wakitaka watoto wa kike kupelekwa shuleni ili kukiuka viunzi hivyo vya Mila potovu