Ukosefu wa wakalimani wa lugha ya ishara watatiza matibabu

  • | KBC Video
    4 views

    Ukosefu wa wakalimani wa wa lugha ya ishara na vifaa vya mawasiliano vimekuwa kizingiti kikubwa kwa watu walio na matatizo ya kusikia wakitafuta huduma muhimu katika hospitali na vituo vya polis. Jacob Ireri Mbao ambaye ni afisa mkuu wa chama cha watu walio na matatizo ya kusikia humu nchini amesema wahudumu wa afya hawana wakalimani wenye ujuzi wa kutafsiri lugha ya ishara na hivyo suala hilo ni changamoto kwa wagonjwa walio na matatizo ya kusikia wanapotafuta matibabu. Pia polisi hawana ufahamu kuhusu mahitaji ya kipekee ya watu hao wanapoandika ripoti au kuchukua hatua za sheria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive