Skip to main content
Skip to main content

| Ukumbi | Biashara ndani ya COMESA [part 3]

  • | Citizen TV
    205 views
    Duration: 27:34
    Je, wakenya wanaelewa jinsi ya kufanya biashara kupitia COMESA? Je, masharti ya COMESA yanawafaa wafanyabiashara wadogo? Je, soko la COMESA ni la wafanyabishaara wakubwa peke yao? Tunaangazia soko la pamoja la mataifa ya Afrika Mashariki na Kusini