Skip to main content
Skip to main content

| UKUMBI | Miaka 3 ya Ruto | Gharama ya maisha [Part 1]

  • | Citizen TV
    525 views
    Duration: 37:52
    Serikali imetangaza kupungua kwa mfumo wa bei Baadhi ya wananchi walalamika gharama haijapungua Watalaamu wa uchumi wasema hali haijabadilika pakubwa Wafanyibiashara wadogo wadogo wasema hali sio nzuri Ripoti za serikali zaashiria kupanda kwa vipimo vya GDP