Umuhimu wa hatimiliki : Hudhihirisha mmiliki halisi wa mali

  • | KBC Video
    12 views

    Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Isiolo wametoa wito wa kudumisha haki ya kumiliki ardhi na nyumba ili kuwakinga dhidi ya wanyakuzi na visa vya kufurushwa kiholela. Wakiongozwa na mwenyekiti wa kundi la watu walio na ulemavu katika kaunti hiyo, Abdi Wako, wakazi hao wamelalamika kuwa wengi wao hasa wale walioko kwenye Wadi ya Wabera hawawezi kustawisha ardhi zao kutokana na msururu wa kesi mahakamani na sasa wameitaka serikali ya kaunti hiyo kuwapa hatimiliki za kumiliki ardhi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive