Umuhimu wa sayansi

  • | Citizen TV
    39 views

    Mkewe naibu rais Profesa Kithure Kindiki, Dkt, Joyce Kithure, amewataka vijana kuzamia masomo ya sayansi ili kuweza kutatua matatizo na changamoto zinazoibuka nchini.