#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – Kiongozi wa chama cha United Progressive Alliance (UPA), Gavana Amos Nyaribo, ameongoza hafla ya kutoa tiketi kwa wagombea 16 katika maandalizi ya chaguzi ndogo za Novemba 27. Wagombea hao wanawania nafasi za uwakilishi wa wadi, ubunge na useneta katika maeneo mbalimbali nchini. Kaunti ya Nyamira itafanya chaguzi ndogo katika wadi za Ekerenyo, Nyansiongo na Nyamira. UPA imetangaza kuwa inalenga kushinda zaidi ya asilimia 90 ya chaguzi hizo, huku ikishirikiana na vyama vya Jubilee na PNU kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews