Upinzani wamtaka rais kuondoa muundo mpya wa ufadhili vyuoni

  • | KBC Video
    43 views

    Baadhi ya viongozi wa upinzani wanamtaka rais William Ruto kufutilia mbali mara moja mfumo mpya wa ufadhili wa vyuo vikuu wakisema unakiuka haki ya kila Mkenya ya kupata elimu. Wakiongozwa na kiongozi wa chama cha Narc Kenya, Martha Karua, wanasiasa hao pia walidadisi jinsi serikali inavyoshughulikia masuala ya haki za kibinadamu, uchumi na deni la kitaifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive