Usaili wa makamishna wa IEBC

  • | Citizen TV
    56 views

    Shughuli ya kuwasaili wawaniaji wa kiti cha makamishna wa tume ya uchaguzi inaendelea hii leo ambapo watu watatu wamepangiw akuhojiwa leo. KENNEDY ABUGA amekuwa wa kwanza kuhojiwa hii leo baada ya watu wawili walioratibiwa kuhojiwa leo kupata nafasi hiyo hapo jana. Aidha Margaret Nasambu Barasa aliyeratibiwa kuhojiwa leo amejiondoa akisema hana nia ya kuendelea na mahojiano