Usaili wa makamishna wa IEBC waingia wiki ya tatu

  • | KBC Video
    31 views

    Usaili wa kuiunda upya tume huru ya uchaguzi na mipaka, IEBC umeingia kwenye wiki yake ya tatu leo huku wawaniaji saba zaidi wakisailiwa na jopo la uteuzi linaloongozwa na Nelson Makanda.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive