Usalama wa Kitaifa I Serikali yabuni mikakati ya kudumisha utulivu

  • | KBC Video
    60 views

    Wizara ya usalama wa taifa kwa ushirikiano na wadau wengine, imeanza kuweka mikakati ya kuangazia changamoto za kiusalama katika maeneo mbalimbali humu nchini. Mpango huo pia utashuhudia kubuniwa kwa mfumo wa utekelezaji wa mwongozo kuhusu ushirikishwaji wa mashirika mbalimbali katika juhudi za kudumisha amani na usalama humu nchini. Mwongozo huo tayari umesambazwa kwa warakibu wa maeneo yote na makamishna wa kaunti zote huku juhudi za kuanzishwa kwa mpango huo katika ngazi za kaunti na kaunti ndogo zikiendelea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive