Usawa Katika Sekta ya Kawi I Wadau wataka vigezo virejeshwe

  • | KBC Video
    16 views

    Baadhi ya wadau katika sekta ya kawi wanashinikiza kurejeshwa kwa vigezo vya kuhimiza usawa wa kijinsia katika mikataba ya uajiri ambavyo vilitolewa katika kipidi cha kifedha cha mwaka-2023/2024. Wadau hao wanasema hatua hiyo itatoa mwongozo wa kutekeleza sera kuhusu jinsia ili kuhakikisha uwakilishi sawa wa kijisni katika sekta ya kawi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News