Ushuru mpya wa Trump unamaanisha nini kwa nchi za Afrika Mashariki?

  • | BBC Swahili
    11,758 views
    Trump ametangaza ongezeko la ushuru kwa bidhaa mbalimbali duniani ikiwemo nchi za Afrika Mashariki. - Kwa nchi hizi, ushuru wa bidhaa zote zinazozalishwa na kuingizwa Marekani kutoka Afrika Mashariki umewekwa kwa kiwango cha asilimia 10% na 11% kwa DRC. - Je ushuru huu utaathiri vipi bidhaa zinazotoka Afrika Mashariki kama Chai, kahawa, na maua, samaki, mbegu za korosho, na bidhaa za ngozi kutoka Tanzania? #bbcswahili #marekani #afrikamashariki #ushuru #biashara #uchumi #bidhaa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw