Ushuru wa Trump waibua hisia kote duniani

  • | BBC Swahili
    3,151 views
    Donald Trump ameanzisha vita vya kibiashara dhidi ya ulimwengu baada ya zaidi ya miezi miwili ya maandalizi ya tukio kuu la muhula wake wa pili. Je hii itakuwa na athari gani kwa Afrika ? Ungana naye @RoncliffeOdit katika Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #marekani #donaldtrump