Usimamizi wa SHA umo mikononi mwa watu binafsi, asema Mhasibu Mkuu

  • | KBC Video
    420 views

    Mhasibu Mkuu Nancy Gathungu amefichua kwamba mfumo wa Halmashauri ya Afya ya Kijamii uliogharimu shilingi bilioni 104, ulio na data za afya za Wakenya unadhibitiwa na watu binafsi wala si serikali. Mdhibiti wa Bajeti Dkt.Margaret Nyakang’o hali kadhalika alithibitisha kuwa afisi yake haina udhibiti wa hazina ya Bima ya Afya ya Jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive