Skip to main content
Skip to main content

Usimamizi wa siasa za chama cha DCP

  • | KTN News
    513 views
    Duration: 1:51
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amemshtumu Rais William Ruto kwa kuhonga na kuwatishia wagombea wa chama chake, Democracy for Citizens Party (DCP), wanaowania viti mbalimbali katika chaguzi ndogo zijazo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa wagombeaji wa DCP siku ya Ijumaa, Gachagua alisema mgombea wa chama cha DCP eneo la Bunge la Magarini, Stanley Karisa Kenga, alishawishiwa na vitisho vya Ruto kuondoka kwenye kinyang’anyiro. Hii inatokea wiki chache tu baada ya mgombea wa DCP eneo la Bunge la Banisa kujiondoa, uamuzi ambao unasemekana kuhusiana na maafikiano na Rais Ruto. Gachagua ameonya kwamba vitendo hivi vinaathiri huru na uwazi wa kisiasa. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews