Ustawi wa jamii : Kiwanda cha ngozi cha Kenanie, Machakos kuzinduliwa

  • | KBC Video
    28 views

    Ujenzi wa kiwanda cha kutayarisha bidhaa za ngozi cha Kenanie katika kaunti ya Machakos unatarajiwa kuimaisha maisha ya wafugaji ambao hutegemea mauzo ya ngozi na utayarishaji bidhaa za ngozi katika eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News