Utafiti kuhusu ugonjwa wa utindio wa ubongo wahimizwa

  • | KBC Video
    10 views

    Visa vya ugonjwa wa utindio wa ubongo vimekuwa vikiongezeka kila uchao nchini Kenya. Wadau katika kaunti ya Kwale wameanzisha utafiti ili kubaini vyanzo vya ugonjwa huu miongoni mwa jamii.Wakizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya Utandio wa Ubongo ulimwenguni, wanachama wa baraza la watu walio na ulemavu humu nchini, walisema kaunti hiyo imenakili visa 3140 vya watoto walio na ugonjwa huo. Utafiti huu unatarajiwa kuzuia visa vya watoto kuzaliwa wakiwa na ugonjwa huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive