Utekaji Nyara I IG Kanja na Amin wakosa kufika mahakamani tena

  • | KBC Video
    142 views

    Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja na Mkuu wa Idara ya Upelelezi wa Jinai Mohammed Amin hawakufika mahamakani tena katika kesi iliyowasilishwa na mashirika ya kutetea haki za binadamu kuhusu kutekwa nyara kwa vijana watatu katika eneo la Mlolongo, kaunti ya Machakos. Wawili hao badala yake kupitia kwa wakili wao Paul Nyamodi waliieleza mahakama kuwa hawakupewa stakabadhi za kuonyesha kwamba wanatakiwa kufika mahakamani ipasavyo na kuomba agizo lililotolewa tarehe 8 na 13 mwezi huu libatilishwe.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive