Uteuzi wa IEBC : COWU wahimiza uadilifu

  • | KBC Video
    30 views

    Chama cha kutetea maslahi ya wafanyakazi wa sekta ya mawasiiliano-COWU kimesisitiiza haja ya kuwateua maafisa waadilifu katika mchaato unaoendelea wa kutafuta mwenyekiiti na makamishna wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC . Akiongea jijini Nairobi, katibu mkuu wa chama cha COWU, Benson Okwaro alisema chama hicho kina matumaini kuwa uteuzi wa mwenyekittii na makamishhna wapya wa IEBC unahakikisha chaguzi zote ndogo zinaandaliwa haraka iwezekanavvyo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News