Uteuzi wa makamishna na mwenyekiti wa IEBC waanza

  • | KBC Video
    116 views

    Jumla ya Wakenya 1,356 wameorodheshwa kuwania wadhifa wa mwenyekiti na wanachama wa tume huru ya uchaguzi na mipaka- IEBC. Mwenyekiti wa jopo la uteuzi Dr. Nelson Makanda amesema watu 37 wameorodheshwa kwa nafasi ya mwenyekiti ilhali wengine 1,319 watasailiwa kwa nafasi za wanachama wa tume hiyo. Orodha ya watu 37 wanaowania wadhifa wa mwenyekiti inajumuisha wanawake sita na wanaume 31. Wawaniaji watatu ni watu wanaoishi na ulemavu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive