Uteuzi wa Makatibu I Isaboke akabiliwa na kibarua kigumu mbele ya kamati ya bunge

  • | KBC Video
    341 views

    Katibu aliyependekezwa kuhudumu katika idara ya utangazaji na mawasiliano ya simu , Stephen Isaboke, leo alikabiliwa na maswali magumu kutoka kwa wanachama wa kamati ya bunge kuhusu habari na teknolojia ya mawasiliano. Wabunge kwenye kamati hiyo walimtaka afafanue kuhusu maswala yanayoathiri mawasiliano nchini, kuanzia uhuru wa vyombo vya habari , sheria zilizopitwa na wakati , mtazamo wa kimkakati kwa shirika la utangazaji nchini, KBC, uhalifu wa mtandao na uhusiano wake wa zamani na kampuni ya GOtv.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive