Uteuzi wa wana-ODM kama mawaziri wapingwa

  • | K24 Video
    68 views

    Mwanaharakati ameenda mahakama kuu kupinga uteuzi wa viongozi wa upinzani katika baraza la mawaziri la serikali ya Kenya Kwanza. Mlalamishi huyo Julius Ogogoh kupitia tume ya kutetea haki za binadamu anadai kuwa uteuzi wa viongozi wanne wa ODM unakiuka majukumu ya kikatiba aliyopewa upinzani