Uwiano wa kidini : Waumini wa madhehebu mbalimbali wahimizwa kushirikiana

  • | KBC Video
    10 views

    Waumini wa dini mbali mbali wamehimizwa kudumisha umoja, ushirikiano na maelewano bila kujali Imani zao za kidini. Wakati wa dhifa ya Iftar iliyoshirikisha dini na watu wa Imani mbali mbalii jijini Nairobi lengo kuu likiwa kumarisha amani na mshikamano, viongozi wa Kiiislamu waliwahimiza waumini hao kuwa mabalozi wa amani na maelewano pamoja na kuzingatia amali kuu zinazounganisha dini humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News