Vifo vya watu-12 vyanakiliwa kote nchini kutokana na mafuriko

  • | KBC Video
    12 views

    Takriban vifo kumi na viwili vinavyohusiana na mafuriko vimeripotiwa kote nchini tangu kuanza kwa mvua ya vuli inayoshuhudiwa hapa nchini kwa sasa. Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Raymond Omollo amesema zaidi ya familia 3,900 zimeachwa bila makazi. Kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Wycliffe Oketch, katibu Omollo alipongeza juhudi za msaada zilizoongozwa na shirika la msalaba mwekundu lakini akahimiza msaada zaidi wa kibinadamu kutoka kwa wahisani ili kuwasaidia walioathirika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive