- 169 viewsDuration: 4:52Vijana 12,155 waliokuwa wakitafuta fursa za kuanzisha biashara wamepokea awamu ya kwanza ya shilingi elfu-25 kutoka kwa serikali chini ya mpango wa kitaifa wa NYOTA. Vijana hao baadaye wataongezwa shilingi elfu-25 ili kufikisha jumla ya shilingi elfu-50 kama mtaji. Mpango huu ulizinduliwa rasmi na Rais William Ruto leo katika uwanja wa michezo wa Mumias, kaunti ya Kakamega. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive