Skip to main content
Skip to main content

Vijana Busia wapokea mafunzo ya mabadiliko ya tabianchi

  • | KBC Video
    23 views
    Duration: 2:36
    MABADILIKO YA TABIANCHI Serikali ya kaunti ya Busia imeshirikiana na shirika la kijamii la Dhamira Moja, kutoa mafunzo kuhusu uhifadhi mazingira na hatua za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa vijana. Mpango huo unalenga kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ikiwemo mafuriko ambayo yamekuwa yakiwasababishia mafadhaiko wakazi wa eneo la Budalangi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News