Vijana kaunti ya Nyamira wameahidi kuendelea kuandamana wakidai uongozi bora

  • | Citizen TV
    2,080 views

    Vijana kaunti ya nyamira wameahidi kuendelea kuandamana wakidai uongozi bora chini ya uongozi wa Gavana Amos Nyaribo. Vijana hawa wakidai kwamba waraka uliowasilishwa na kundi la vijana kwa gavana halikuwakilisha wakaazi.