- 9,551 viewsDuration: 56sWatumiaji wanne wa mtandao wa TikTok nchini Somalia wamekamatwa kwa kudaiwa kumdhihaki Rais wa nchi hiyo – Hassan Sheikh Mohamud. Tukio hili linakumbusha visa vingine kadhaa katika ukanda wa Afrika Mashariki Sasa je, ni sahihi kwa serikali katika baadhi ya mataifa kuchukua hatua kali kama hizi? Tunalijadili hili mwendo wa saa tatu kamili katika Dira ya Dunia na Elizabeth Kazibure. Unaweza kufuatilia matangazo haya mubashara katika mitandao yetu ya youtube na facebook ya bbcswahili. #bbcswahili #uganda #afrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw