VIJANA WA BODABODA BUSIA WANUFAIKA

  • | KNA Video
    12 views
    TAKRIBAN VIJANA 70 KUTOKA WADI ZOTE 35 ZA KAUNTI YA BUSIA WATANUFAIKA NA UFADHILI WA MASOMO YA KUENDESHA GARI KUTOKA KWA AFISI YA MWAKILISHI WA WANAWAKE WA BUSIA KWA LENGO LA KUPUNGUZA AJALI BARABARANI NA KUPATA UJUZI WA KUJIMUDU KIUCHUMI.