Vijana wa UDA watofautiana na Dennis Itumbi katika nia ya kuwahusisha kwenye mpango serikalI

  • | NTV Video
    739 views

    Vijana wa uda wametofautiana na msimamizi wa uchumi bunifu na miradi maalum Dennis Itumbi katika nia ya kuwahusisha kwenye mpango wa kufanikisha agenda za serikali ya kenya kwanza ikiwemo mkataba wa kupeana uwanja wa kimataofa wa ndege wa J.K.I.A kwa kampuni ya wahindi ya Adani pamoja na kuidhinisha mfumo mpya wa kufadhili elimu ya juu . Itumbi anadai kutokana na uzinduzi wa 'UDA comrade chapter vijan wa takuwa mabalozi wa ajenda za rais William Ruto.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya