Vijana waanza kunufaika na teknolojia endelevu Kilifi

  • | Citizen TV
    118 views

    Huku tatizo la ukosefu wa ajira likiendelea kuwakabili watu wengi, vijana wamehimizwa kukumbatia nafasi za ajira zinazotokea mitandaoni ili kujistawisha kiuchumi