- 210 viewsDuration: 1:43Kenya ni miongoni mwa maeneo yanayolengwa zaidi na upanuzi wa mfumo wa teknolojia wa AI kupitia mashirika tofauti, hali ambayo inaweza kubadilisha soko la ajira ifikapo mwaka 2030 , hasa katika ajira za huduma kwa wateja, uhasibu na biashara rejareja.