Vijana waliotekwa nyara Billy Mwangi, Ronny Kiplangat waachiliwa huku Kibet Bull hajulikani aliko

  • | TV 47
    2,752 views

    Billy Mwangi alipatikana Embu.

    Ronny Kiplangat, nduguye mchora katuni Kibet Bull alipatikana Machakos.

    Mchora katuni Kibet Bull bado hajulikani alipo.

    Kuachiliwa kwa vijana hao wawili kumejumuisha idadi ya walioachiliwa hadi wanne.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __