Vijana wanadaiwa kukodishwa kuiba mifugo na kuwahamisha

  • | Citizen TV
    311 views

    Kamanda wa polisi wa kaunti ndogo ya Borabu katika kaunti ya Nyamira Christopher Wesonga ameomba ushirikiano kati ya maafisa wa polisi na wakazi wa eneo hilo, katika vita vya kupambana na wizi wa mifugo eneo hilo