Vijana wanaongoza kwa maambukizi mapya ya HIV Kajiado

  • | Citizen TV
    98 views

    Asilimia 30 ya maambukizi mapya ya HIV ni ya vijana katika kaunti ya Kajiado, jambo ambalo washikadau wa afya wamekiri kuwa ni changamoto kubwa kwa jamii.