Skip to main content
Skip to main content

Vijana washirikishwa tasnia ya uanahabari ,Dadaab

  • | KBC Video
    37 views
    Duration: 4:43
    Kambi ya wakimbizi ya Dadaab katika kaunti ya Garissa ni nyumbani kwa maelfu ya vijana wanaotafuta fursa za kujikimu wakiwa katika taifa la kigeni. Ripota wetu Adan Ibrahim ametuandalia simulizi ya baadhi ya vijana watatu hao wanaotafuta nafasi katika tasnia ya uanahabari. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News