Vijana wataka kuchaguliwa kuwa makamishna wa IEBC

  • | KBC Video
    56 views

    Baadhi ya viongozi wa vijana wanashinikiza kuchaguliwa kwa angalau vijana wawili, miongoni mwa makamishna wapya watarajiwa katika Tume Huru ya Uchaguzi na Uratibu wa Mipaka (IEBC). Wito huo unajiri siku moja tu kabla ya tarehe ya mwisho ya kutuma maombi,zoezi ambalo limeshuhudia vijana wasiopungua 219 wakionyesha nia na azma ya kuchukua nafasi za makamishna katika tume hiyo. Fredrick Parsayo na tasnifu ya taarifa hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive