Vijana watisha kuandamana tena, wakiitaka serikali ya Ruto kuachilia waliotekwa nyara

  • | NTV Video
    3,366 views

    Vuguvugu la vijana chini ya muungano wa Gen - Z katika kaunti ya Busia limeshinikisa serikali ya kitaifa kuwaachilia huru waliotekwa nyara huku wakimtaka rais William Ruto kujitokeza na kukemea suala la utekaji nyara ambalo limekuwa likigonga vichwa vya habari kila uchao.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya