Vikao vya mahojiano ya kutafuta makamshna wa IEBC vyaendelea

  • | Citizen TV
    144 views

    Vikao vya mahojiano ya kutafuta makamishna wa tume ya uchaguz vinadendelea kwa wiki ya pili. kamati ya uteuzi itawahoji watu mia moja kumi na mmoja kujaza nafasi sita za makamishna wa IEBC. Haya ni huku kiongozi wa wachache Junet Mohammed akipania kuwasilisha hoja ya kutaka kamati hiyo iongezewe siku kumi na nne zaidi za kufanya mahojiano. tusikize yanayojiri.